Posted 1 month ago
  • Waiters / Waitresses
  • Chefs
  • Receptionists
  • Hotel Managers
  • Tour Guides
  • Housekeepers

MAELEKEZO MUHIMU KABLA YA KUTUMA MAOMBI

Tafadhali soma maelekezo haya kwa makini ili kuhakikisha ombi lako linatumwa kwa usahihi.

Jinsi ya Kutuma Maombi

  1. Jaza taarifa zako kwa usahihi kulingana na fomu ya maombi.
  2. Pakia (Upload) CV yako yenye maelezo kamili yanayokuhusu.
  3. Bonyeza kitufe cha “Submit” kutuma maombi yako.
    Utaelekezwa kwenye ukurasa wa uchakataji wa maombi ambapo utahitajika kufanya malipo ya TZS 8,500.
  4. Baada ya kufanya malipo, maombi yako yatatumwa rasmi na utapokea barua pepe (email) ya uthibitisho.

Apply For This Job