Banking & Microfinance Jobs
Posted 1 month ago
- Bank Tellers
- Customer Service Officers
- Loan Officers
- Branch Managers
- Risk & Compliance Officers
MAELEKEZO MUHIMU KABLA YA KUTUMA MAOMBI
Tafadhali soma maelekezo haya kwa makini ili kuhakikisha ombi lako linatumwa kwa usahihi.
Jinsi ya Kutuma Maombi
- Jaza taarifa zako kwa usahihi kulingana na fomu ya maombi.
- Pakia (Upload) CV yako yenye maelezo kamili yanayokuhusu.
- Bonyeza kitufe cha “Submit” kutuma maombi yako.
Utaelekezwa kwenye ukurasa wa uchakataji wa maombi ambapo utahitajika kufanya malipo ya TZS 8,500. - Baada ya kufanya malipo, maombi yako yatatumwa rasmi na utapokea barua pepe (email) ya uthibitisho.